Mwanamke KAMILI....!!

Kwa vigezo hivi, definetely AM NOT
 
Karibu T na hongera sana. Hopefully wa karibu yako wanaku-appreciate!!

Glad to hear that Canta. . . endelea hivyo hivyo.

Tracy kuhisi kwamba na wewe umo ni hatua nzuri, ila jitahidi mpaka ujihakikishie badala ya kuhisi/fikiri.
I will always be my dia,
May God help me!
 
Kwa vigezo hivi, definetely AM NOT
Definitely unaweza au una sifa za kuwa Mwanamke kamili, kwa sababu unajitambuwa hii ni sifa kuu ya kibinadamu, wengi wamejipachika sifa ya umalaika yaani kwamba wamekamilika ndio maana nyumba hazikaliki siku hizi.
 
wewe bahati yako nimeoa!
au nibadili dini kuwa muslim nioe wawili?
Hahhahahah!
Habari yako Henge,
I missed u swaiba vp?
Heri ya mwaka mpya,
Hahahaha,unataka unifanye second choise jaman!!?
 
Kwa hayo maelezo, wasio na wenza hawawezi kuwa wanawake kamili!

Wanaweza ila nimeamua kuangalia kwa upande wa waliopo kwenye mahusiano kwasababu ndivyo nilivyofanya kwa wanaume jana.
 
Loh!!
Hapo kati NO COMMENT!!
 
Hahhahahah!
Habari yako Henge,
I missed u swaiba vp?
Heri ya mwaka mpya,
Hahahaha,unataka unifanye second choise jaman!!?
Poa ndugu yangu, heri na kwako pia!
Nimeshafanya tayali ndugu yangu ni wewe! dini tuu ndo inanizuia nashangaa zamani walikuwa wanaruhusiwa bwana!
 
Hivi mmeziangalia katika 3D? Au mimi huwa na-exaggerate mambo?
Habari yako Kongosho,
Aisee ww kwa vile uko kotekote,
Inabidi uiangalie ktk 4D,
Binafsi najitambua ni MWANAMKE KAMAMILI na nimepitiliza hivo vigezo,source-my MWANAUME KAMILI.
 
Wanaweza ila nimeamua kuangalia kwa upande wa waliopo kwenye mahusiano kwasababu ndivyo nilivyofanya kwa wanaume jana.

Ni kuendeleza mfumo dume tu. Kuwa mwanamke awe kamili lazima atizamwe kwa namna anavyo deal na mwanamme
 
Poa ndugu yangu, heri na kwako pia!
Nimeshafanya tayali ndugu yangu ni wewe! dini tuu ndo inanizuia nashangaa zamani walikuwa wanaruhusiwa bwana!
Asante swaiba,
Tatizo ushachelewa,
Kuna mjanja keshanifanya chaguo lake la kwanza aisee!
Labda usubiri km ikitokea nikachika aiseee!
 
Don't THINK, BE!

Thank you Gurta,but my point was ..'i can not only rely on my own understanding to prove the said,plus,am not married,i can only be the Kamili part in my own way but challenges in marriage have to prove me right'..siwezi kubeza mamba kabla sijavuka mto hata kama nimevaa chuma,naeza toka chongo..
 
Ha ha ha ha
Haya bwana umeshinda

Habari yako Kongosho,
Aisee ww kwa vile uko kotekote,
Inabidi uiangalie ktk 4D,
Binafsi najitambua ni MWANAMKE KAMAMILI na nimepitiliza hivo vigezo,source-my MWANAUME KAMILI.
 
Asante swaiba,
Tatizo ushachelewa,
Kuna mjanja keshanifanya chaguo lake la kwanza aisee!
Labda usubiri km ikitokea nikachika aiseee!
duuu afadhali bwana ngoja nianze kuomba na kufunga jamaa akuache!
ILI NIKUPATE!
hahahahahah nakutania bwana usijenichukia bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…