Mwanamke KAMILI....!!


Shikamoo babu ODM,
Mie sijiiti bali ni Mwanamke kamili haswaaa!
Ila hilo nililobold halikubaliki kbs nikimfumania lzm anipe maelezo ya kueleweka na sio hayo sababu uloweka hapo.
 
Ni kuendeleza mfumo dume tu. Kuwa mwanamke awe kamili lazima atizamwe kwa namna anavyo deal na mwanamme
Sio mbaya kwasababu jana ntakua nilitumia "mfumo jike" kwa kutazama namna ambayo mwanaume anadeal na mwanamke kwahiyo balance ipo.
 
duuu afadhali bwana ngoja nianze kuomba na kufunga jamaa akuache!
ILI NIKUPATE!
hahahahahah nakutania bwana usijenichukia bure!
Hahahah!
Kwa jina la yesu haitawezekana lol!
Najua hasa ur not serious aisee!
 
Mtaani it is then. . unipe tu vigezo vichache ambavyo ni binafsi alafu mi ntazingatia vile ambavyo ni general na nnajua unastahili!!Lolz
Awe na urefu wa wastani lakini sio kama twiga, asiwe mcha mungu ila amuogope mungu, maana dini siku hizi zimekuwa biashara, Elimu kwangu sio tatizo ajuwe kusoma na kuandika, maana tuna Maprofesa uchwara siku hizi, kwahiyo vyeti sio kigenzo kwangu. ni hayo tu kwa uchache.
 

Alright. . .
Ntafanyia kazi haraka iwezekanavyo!!
Kaa mkao wa kusema Ahsante!
 
Kwasababu sikujiweka kwenye mjadala, ila kama wewe inakuridhisha/pendeza kuniweka jiachie tu.

Tupo kwenye mazungumzo haya kwa sababu nilikwisha jiachia tayari
 
Gwaride kubwa.. (6x6=36)......unaweka materio yapi anga hiyo mtaalamu..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…