Yaani mama yako hamna kitu, kila kitu ni baba, pole sana!1.UWAJIBIKAJI
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
2. UADILIFU
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
3.UAMINIFU
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
4. UJASIRI
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
5.SUBIRA
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
6.UBUNIFU
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
7. KUJITUMA
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
8. MAONO
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
9.UWAZI
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
10.USAFI
(a)mwanaume [ √√√ ] (b)mwanamke [ ]
Basi mngefuga kambare kama ishu ni utelezi..Utamu tunao sisi wenyewe nyie mnatupa utelezi tu
mamboBasi mngefuga kambare kama ishu ni utelezi..
kwani kipo?Yaani mama yako hamna kitu, kila kitu ni baba, pole sana!
KituKinini
umevamia mada, Soma uelewe ndo ujibuKitu gani