Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu.

Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
 
Screenshot_20221113-094731_Quora.jpg
nakuona mkuu baada ya kutoa bia 6 na kupata ushindi
 
Bora ww mkuu mm mwenye kibamia changu nateseka balaa wananipa majibu y hovyo mademu zngu wananiita muuza fegi😁😅
 
Back
Top Bottom