Habari za wanaforum hii..nahitaji kupata mwanamke wa kupanga nae maisha.. profile yangu kwa ufupi...Age ni 31yrs' nimejiajiri Mwenyewe. Na nina kibanda changu pia hapa mjin.
Sifa za huyu Mwanadada ni.
Awe msafi wa Asili nje na ndan.
Awe na elimu ya A'level+
Asiwe na mtoto.
**Awe tiar kupima Afya kwa pamoja.**
Shukran.
Sifa za huyu Mwanadada ni.
Awe msafi wa Asili nje na ndan.
Awe na elimu ya A'level+
Asiwe na mtoto.
**Awe tiar kupima Afya kwa pamoja.**
Shukran.