Kwa hiyo kiongozi kwa mujibu wa title ya habari mnataka kuwa makenge?Habari za wanaforum hii..nahitaji kupata mwanamke wa kupanga nae maisha.. profile yangu kwa ufupi...Age ni 31yrs' nimejiajiri Mwenyewe. Na nina kibanda changu pia hapa mjin.
Sifa za huyu Mwanadada ni.
Awe msafi wa Asili nje na ndan.
Awe na elimu ya A'level+
Asiwe na mtoto.
**Awe tiar kupima Afya kwa pamoja.**
Shukran.
Hivi nani kawaambia humu kuna wanawake
Tena wa kukenga maisha?.. ndio wakoje
Typing error kiongozi..lakin pia naamini kufahamiani ni kokote inaweza kuwa sokoni..kanisani.msiban.na hata hapa kwa platform hii
Ohoooo!![emoji124][emoji124]Una gari
Ohoooo!![emoji124][emoji124]
Husband to be! nakuja inbobo.Habari za wanaforum hii..nahitaji kupata mwanamke wa kupanga nae maisha.. profile yangu kwa ufupi...Age ni 31yrs' nimejiajiri Mwenyewe. Na nina kibanda changu pia hapa mjin.
Sifa za huyu Mwanadada ni.
Awe msafi wa Asili nje na ndan.
Awe na elimu ya A'level+
Asiwe na mtoto.
**Awe tiar kupima Afya kwa pamoja.**
Shukran.
ChangamotoKwa hiyo kiongozi kwa mujibu wa title ya habari mnataka kuwa makenge?