Hebu tupeane Elimu kidogo hapa Je Ni Kawaida kwa Mwanamke Kubleed baada Ya Mimba Kujulikana Week 3 baadae. Na Bleed yake Ni Nyepesi ya Kawaida kama anavyopata
Nimejaribu kuulizia kuhusu Vipimo vya UltraSound Ili Tujue Ila Wamesema Mpk week 6 ndo itaonekana Vizuri kama Ipo Ila wamesema Inaweza Ikawa Kawaida kubleed Hivyo Kwa Mwanamke
Mwanamke aki bleed wakati ni mjamzito swali la kwanza Kujiuliza ni kafanya Abortion, kama hapana utaanza kufikiria issue nyingine za pregnancy complications kama Gestational trophoblastic disease, Anovulation nakadhalika