Mwanamke kueleza hisia zake za mapenzi maoni na mtazamo...

kweli sie hua waoga ila kupenda tunapenda kweli kama miye ninavyo mpenda mfungwa Ivu....a yani basitu

Hivi ulijuaje ukatoa hiii mzee? unajua umeniaidia ee.

Sasa hapa hapa kaza buti akikuponyoka utaonekana mjinga lol
 
Hayo maneno ya DHANA potofu, ushamba n.k ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili.
Hapo kale ilikuwa ni marufuku wewe na mkwe wako wa jinsia tofauti na wewe kushikana mikono, kupishana wala kukaa karibu naye, unajua wazee wetu waliona nini hapa?

Siku hizi ni kawaida MKWILIMA kukumbatiana na mama mzazi wa mke wake (Mama mkwe), nini kinatokea? Je sababu ni nini?
Haya sasa baba anamkumbatia binti yake mkubwa (na mavazi ya siku hizi) eti mambo ya kileo, nini kinatokea?Habari za akina baba kuzaa au kutembea na mabinti zao zinaongezeka kila kukicha, sababu ni nini? Kiumbe chenye mauti huongozwa na tamaa, je tamaa inakuwa activated vipi? Vicheo vyake? Mipaka yake ni nini?

Mila na desturi za mababu zetu zina maana kabisa (fanya uchunguzi), huu uchakachuaji tunaoufanya siku hizi (Mf: Mwanamke kumtongoza mwanaume) ndio unaotupoteza na kuishi na kufanya mambo kama wanyama!
 
Rose hii lugha inanipa shida kusoma. umejifunzia wapi nami nikasome?
 
Hahahahahah wewe kiboko huyo demu atakae tumia hayo maneno atakuwa teja lol
 
kweli sie hua waoga ila kupenda tunapenda kweli kama miye ninavyo mpenda mfungwa Ivu....a yani basitu

Hivi ulijuaje ukatoa hiii mzee? unajua umeniaidia ee.

Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.
 
Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.

Hapo ni chemistry ndio inayokufanya ufanye move mfano mie humu jf kuna mdada japo kaweka avatar ambayo sio sura yake lakini chemistry zetu zimemeet karibu tutafanya move na kuwatangazia lol
 
Mimi kumtokea mtu siwezi, na kwanza sijui kama nimewahi kumpenda mtu ambaye hajaniambia kuwa ananipenda. Ila kueleza feelings zangu kwa mpenzi wangu ni mara nyingi tu sababu naamini ana haki ya kujua feelings zangu kwake.

Old school!!!:coffee:
 
Sinai umenichekesha sana.......... nway I still believe in women hidding in their closet and yet can express their feelings in their own way............body language, body language and body language again
 
Hiyo body language halafu body langu again imetulia sana lol......usiombe mwanamke akuonyeshe body language wanakuwa wanamaudhi sana yaani wengine utahisi au mie namhisi vibaya? Maana unaweza kumtokea ukakuta wala hajakusudia nadhani msg au ikibidi kumwambia imekaa vzuri.
 
Wanawake ndio huwa wanafanya approach ya kwanza sema tuu wanaume hatunote hizo signs. Baada ya kunote signs za you may enter, ndio mwanaume anafanya move.

nakubaliana na wewe mkuu - tembea yangu yote nimeanzwa na mademu, sio wameniambia direct, lakini niliona signs zao na mimi niaka-approch, walitaka sababu tu ya kuanza..
 
Mo' sote binaadam tumeumbwa na mapendo - kwa hiyo sioni ubaya mwanamke akikwambia anakupenda.
Dalili za mapenzi zinaanza kote kwa mwanamke na kwa mwanaume, isopokuwa sisi binadam mara nyingi
tunafikira mbovu - eti mwanamke akikwambia nakupenda ndio ameshakuwa sio mwanamke mzuri kwa tabia
that's wrong.
 
Binaadam wa kitanzania/kiafrika......
 
Unamkubalia halafu mnamalizana! Leteni mahisia yenu tu mtapokelewa na kujibiwa vizuri sanaaa
 
Lakini kuna ma shemale hivyo wanaume wenzangu tuwe makini kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…