Mwanamke kufoka

Mwanamke kufoka

Buchumipetro

Member
Joined
Mar 7, 2025
Posts
20
Reaction score
33
Kwa wanandoa hii inahusu sana wanawake

familia nyingi ziko mbioni kuharibika kwa sababu mke na mme wote ni viburi hakuna mtu wakushusha sauti

jamani wanawake ebu jitambueni kuwa ninyi ni nani ninyi ni wanawake tu na hamuna ruksa ya kumfokea mwanaume na kumnyoshea kidole

hii inasababisha mwanaume kuwapiga tambueni hilo mwanamke unapoanza kufoka mwanaume anashindwa kujizuia kabisa inapelekea mwanaume kuondoka mbele yako na au kukupiga

hatakama mwanaume kakosea lakini wewe kama mwanamke uliejaa hekima na busala unatakiwa umueleze mmeo kwa upole sauti yako iwe chini na uwe mpole uliza au muambie kwa upole nae atajibu

mwanaume atakapojibu kwa kufoka au asipojibu wewe inatakiwa ukae kimya na mwache tu hadi mda utakapoona yakwamba yuko sawa hapo utajaribu kutumia lugha moja ambayo ni nzuri tu MFANO: (mme wangu kichwani mwangu nikonajambo linanisumbua naomba mda wako kidogo nikueleze & nikuulize samahani lakini nikikuudhi utanisamee)

hapo ukinena hivo yani lazima akuone mwanamke anaefaa.

BY shuleyamapenzi
 
kwani kwenye kitchen party mnaambianaga nini?

Ndoa nyingi siku hizi wanawake hawapati yale mafunzo ya ndoa, mwanamke anatakiwa aweje kwenye ndoa yake, wengi wao wanaingia na digrii au diploma, wengine wanaingia na mishape yao wakijua wamewini sasa changamoto zinapoanza ndio unaona kama hayo yanatokea
 
Kufoka kwa mtu yeyote si tatizo.

Ila.

Anayefoka amfokee mtu sahihi, si kumfokea yeyote tu.

Anayefoka afoke kwa sababu sahihi, si anafoka bila sababu maalum, au anafoka kwa kukasirika tu.

Anayefoka afoke kwa sauti sahihi, isiwe ya juu sana kupita kiwango wala ya chini sana.

Anayefoka afoke kwa muda sahihi, asifoke kwa muda mfupi zaidi ya inavyotakiwa, wala asizidishe muda wa kufoka.

Anayefoka pia anatakiwa atumie maneno sahihi, asitumie maneno makali sana, wala asitumie maneno mepesi sana.

Ukizingatia yote haya, utagundua ni rahisi kutofoka kuliko kufoka inavyotakiwa.
 
Kufokewa Huwa kunanimalizia nguvu za kiume kabisa!Hadi namuona ni mwanaume mwenzangu tu isipokua jinsia!!Bora ukae kimya usepe!

Mwanamke anaongea kaa amemeza.memory card!
 
Kwa wanandoa hii inahusu sana wanawake

familia nyingi ziko mbioni kuharibika kwa sababu mke na mme wote ni viburi hakuna mtu wakushusha sauti

jamani wanawake ebu jitambueni kuwa ninyi ni nani ninyi ni wanawake tu na hamuna ruksa ya kumfokea mwanaume na kumnyoshea kidole

hii inasababisha mwanaume kuwapiga tambueni hilo mwanamke unapoanza kufoka mwanaume anashindwa kujizuia kabisa inapelekea mwanaume kuondoka mbele yako na au kukupiga

hatakama mwanaume kakosea lakini wewe kama mwanamke uliejaa hekima na busala unatakiwa umueleze mmeo kwa upole sauti yako iwe chini na uwe mpole uliza au muambie kwa upole nae atajibu

mwanaume atakapojibu kwa kufoka au asipojibu wewe inatakiwa ukae kimya na mwache tu hadi mda utakapoona yakwamba yuko sawa hapo utajaribu kutumia lugha moja ambayo ni nzuri tu MFANO: (mme wangu kichwani mwangu nikonajambo linanisumbua naomba mda wako kidogo nikueleze & nikuulize samahani lakini nikikuudhi utanisamee)

hapo ukinena hivo yani lazima akuone mwanamke anaefaa.

BY shuleyamapenzi
Sasa hao wanawake unaowasema wapo kweli Tanzania...?
 
Back
Top Bottom