Eneo ninaloishi na kwenye ndoa za ndugu zangu,haihitaji elimu, kila siku tunaamua kesi na kupatanisha, sources ni wanaume kutotuliaHizi tafiti huwa mnazifanya wapi
Aaah sawa mwanaume situlii kwa kuwa kuna sababu maalumuEneo ninaloishi na kwenye ndoa za ndugu zangu,haihitaji elimu, kila siku tunaamua kesi na kupatanisha, sources ni wanaume kutotulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa wapi kama hunipi nikaridhika nitaachaje kuchepuka
Hahaha kwa hiyo mwanamke hana urithi kwao?Niulize. Mwanamke akifa anazikwa wapi. Kama anazikwa kwao mume basi ni dhahiri alikozaliwa sio kwa bali atakakoolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaridhikaga nyie basi, labda mwenye hofu ya Mungu tuTamaa wapi kama hunipi nikaridhika nitaachaje kuchepuka
Makofi ya nini, unashangilia dhambi[emoji122] [emoji122]
DJ sepetu
Anazikwa makaburini popote alipo au atakapopelekwaNiulize. Mwanamke akifa anazikwa wapi. Kama anazikwa kwao mume basi ni dhahiri alikozaliwa sio kwa bali atakakoolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh hapo kidogo nakuelewa
BINADAMU WOTE HATURIDHIKI KUMBUKA
Inawezekana ila sio kwa kila kituBINADAMU WOTE HATURIDHIKI KUMBUKA
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Tangu lini mwanaume akaridhika hata umpe mkia, hahahaha haloooooTamaa wapi kama hunipi nikaridhika nitaachaje kuchepuka
hapo tunaenda sawa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]