Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

Tunataka majibu ya kitaalamu kama haya . . Safi sana . .

Nimeshashuhudia pia hali hii kwa mizigo yangu miwili, mmoja hapa Dar mwingine Rwanda . . Na kwa kweli hawaliwi 0713 . .
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] itakuwa alijua kuwa anajamba ila ikawa bahati mbaya, tofauti na hivyo jamaaa ck moja afanye km kakosea then aone itapokelewa vp.
 
Ni dhahiri mwenza wa rafiki yako ana matatizo lakini kumtuhumu Moja kwa moja kwamba anaingiliwa kinyume na maumbile si sawa. Mathalan wamejamiiana zaidi ya Mara Sita na hii ni Mara ya kwanza Jambo hili kutokea, ni vyema wakae wajadili kama wapenzi hivi vitu vinaongeleka Kama mnapendana kwa dhati.

Kuanza kuzunguka kwa marafiki na kumsema mwenza wako kwa madhaifu Yake si sawa, na ni kuuweka uhusiano wenu rehani.

Mbadilike wajukuu zangu
 
Kule kusema.."dem hajajua kilichompata?...yani hajashtuka kama kashapakulia mzigo bed...nabisha..hata kama hajaona,harufu hajaskia?"...[emoji3][emoji3][emoji3],i cant buy tht!
 
Sio kumsema tunatafuta chanzo
 
Kule kusema.."dem hajajua kilichompata?...yani hajashtuka kama kashapakulia mzigo bed...nabisha..hata kama hajaona,harufu hajaskia?"...[emoji3][emoji3][emoji3],i cant buy tht!
Muda mfup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…