Mwanamke kukosa uteute ukeni tatizo lake ni nini?

Faiza foxy lete shule tumshauri mwanamke mwenzetu afanye jaribio leo
 
Ukijaribu vyote ukashindwa basi nenda bukoba kula ndizi sana
 
Kama una nyonyesha basi hiyo ni hali ya kawaida kabisa na itakwisha tu! Vinginevyo pima magonjwa ya maambukizi ya njia ya mkojo UTI n.k. Kisha pata tiba sahihi.
 
hilo tatizo haupo peke yako dadaangu mpo wengi tu,cha muhimu ni mwambie mumeo akuandae vya kutosha pia uwe na hisia naye hakikisha mpenzi wako ni msafi,kama hatojari mwambie akuyonye kisimi au akuchezee hicho kisimi uone,wakati hilo zoezi likiendelea kumbuka kula matunda kama matikiti, ndizi pamoja namboga za majani ikishindikina hapo muone daktari wa magonjwa ya kina mama
 
Nashukuru ndug nitafanyia kazi ushauri wako
 
Kama una nyonyesha basi hiyo ni hali ya kawaida kabisa na itakwisha tu! Vinginevyo pima magonjwa ya maambukizi ya njia ya mkojo UTI n.k. Kisha pata tiba sahihi.
Asante mpenz sin mtot
 
Nitafanyia kazi ushauri wenu ndug zangu
 
Haya matatizo yanawapata wanawake wengi na mara nyingi wametibiwa kienyeji.

Kuna shemeji yangu alikuwa na tatizo hilo ila kwa kimabiwa na wife baadae katafutiwa dawa na mama yake. Labda kuulizia dawa hiyo. Hata bibii yake mke wangu alikuwa akitibu hii kitu ya kukosa maji pamoja naa walio na maji mengi kupitiliza. Sijui hiyo formula atakuwa amemuachia nani.

Nitaulizia wife kasafiri ila nikumbushe kwa pm.
 
Upo sawa mkuu au nendeni hospital mkamuone dokt
 
Tafuna mchele kwa wingi itakusaidia, wengine wanatumia ata kula nyanyachungu (ngogwe) kwa wingi.....
 
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami nikawa nao karibuni kuchangia
Homon imbalance inasababisha sana hilo tatizo
 
DAH MKUU HILO NENO LIMEKAA KIUKALI. NAHISI LIMEKOSA HEKIMA. STAY POSITIVE MZEE ACHA HIZO. MSAIDIE TATIZO HUSIKA
Sio ukali huwezi solve tatizo bila kuevaluate sources za tatizo. Doctor lazima akueleze kwanza ukweli.
 
Sio ukali huwezi solve tatizo bila kuevaluate sources za tatizo. Doctor lazima akueleze kwanza ukweli.
ANGALIA SANA ULIMI WAKO KAMA HADI KWENYE MAZUNGUMZO HUWA UNA TABIA HIO BASI UTAWAKWAZA WENGI.
 
Mwanamke kutopata ule ute ute hali hii inatokana na nini maana mimi huwa siupati hata nikikaribia ovulation siupati kabisa naombeni munisaidie kama kuna uwezekano hata wa kutumia dawa nami nikawa nao karibuni kuchangia
Kiukweli unahitaji deki. Pia mwambie mumeo awe anakuchezea kama 45 minutes mpaka huo unyevu nyevu utaupata. Mwambie awache kukurukia kama tingo wa daladala na akutengeneza kama samaki wa kupaka.[emoji6] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…