Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

Kangozi

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
20
Reaction score
1
A alifunga ndoa na Am, baada ya miaka mitatu wakafarakana na A kukimbilia kwao Tanga ambako alikutana na mpenzi wake wa zamani Ab wakafunga ndoa bila ya kuvunja ndoa na Am. Am anajua kuwa baada ya A kutoka kwake, A alienda olewa na Ab, na kwa kipindi chote hicho alikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote lakini Ab hajui kama A aliolewa na Am. Baada ya miaka 5, A amekorofishana na Ab, amekimbia Tanga na amekwenda kaa na Am, Tabora wakati Ab anajua kuwa mkewe yuko shule.

Sheria inasema nini? Nani ana makosa? Aliye na kosa atapata adhabu ya mahakama? Adhabu gani?
 
ukisoma sheria ya ndoa revised edition 2002 kifungu cha 15 kifungu kidogo 3 kinasema no woman who is married shall, while that marriage subsists, contract another marriage.kikiwa na maana ya kuwa sheria haimruhusu mwanamke aliyeolewa kuolewa kwa mara nyingine pasipo kuvunja ile ya awali, hivyo ile ndoa ya pili haitambuliki kisheria.
 
majanga...majanga.... mbona majanga....!!!!!!!!!!!!
 
Usiwe na akili ya kuvukia barabara tu na iliyobaki ya kwenda chooni,,Ni kitu ambacho hakiwezekani sasa mtoto atakuwa wa nani? Na je suala la kubeba mimba kila mume akitaka kwa wakati mmoja atambebea nani kwanza mtoto?
 
Mzuka mzuka, Nani kati yao hapo ana akili za kwendea choo
 
Back
Top Bottom