A alifunga ndoa na Am, baada ya miaka mitatu wakafarakana na A kukimbilia kwao Tanga ambako alikutana na mpenzi wake wa zamani Ab wakafunga ndoa bila ya kuvunja ndoa na Am. Am anajua kuwa baada ya A kutoka kwake, A alienda olewa na Ab, na kwa kipindi chote hicho alikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote lakini Ab hajui kama A aliolewa na Am. Baada ya miaka 5, A amekorofishana na Ab, amekimbia Tanga na amekwenda kaa na Am, Tabora wakati Ab anajua kuwa mkewe yuko shule.
Sheria inasema nini? Nani ana makosa? Aliye na kosa atapata adhabu ya mahakama? Adhabu gani?
Sheria inasema nini? Nani ana makosa? Aliye na kosa atapata adhabu ya mahakama? Adhabu gani?