Mwanamke kutokwa damu kila afanyapo tendo la ndoa

Mwanamke kutokwa damu kila afanyapo tendo la ndoa

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
113
Ndugu zangu wana JF naomba kujua nini tatizo kwa mwanamke kutokwa na damu kila anapofanya tendo la ndoa.

Ukiangalia inakuwa sio mchubuko wala sio kuwa yuko period, unakuta tu uume ukiingiea sehemu za kike anaanza kutoka damu na yeye hapati maumivu yoyote, wala haisi chochote zaidi ya kuona tu damu.

Naombeni msaada kwenye hili!
 
Ebu nenda jukwaa la madokta kule wanaweza kukupa ushauri!! Mmmh au unamkubwa wewe??
 
Inawezekana ikawa double bleeding in the same moon

Au mashine inatoboa cervix

Muwaishe hospital inawezekana kuna tatizo lililojificha.
 
Bora muende hospital mkapate ushauri kutoka kwa doctor
 
Hiyo ni dalili kubwa ya kansa shingo ya uzazi.au alichoma sindano ya majira.
 
Back
Top Bottom