Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Ukiwa na ratiba ya kuamka alfajiri sana na kuchapa kazi na ku make money na kujikuta una lala sa tamo hadi sita usiku kila siku
Hutakaa kiwaza rangi ya pichu hata siku moja
Maisha yamebadilika sana wandungu
Mkuu sio kwamba watu hawapendi kujishughulisha Ila shughuli ndo zinazingua kwa mfano unalima mvua hamna, vibarua havipatikani hata sie wazibua vyoo tumekosa tenda kipindi hki kwa hiyo automatically unajikuta unawaza vyupi tu maana ndo tunaviona sana kuliko pesa
 
The best in all is cleanliness hata kama itakuwa black or whatever its ok,but ahakikishe yupo msafi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..nyeusi zina mvuto sana...bhna mie ninazo mbili ila swaga tofauti ni mzuka kishenzi.... au bibie wako anakuvaliaga yale ya kale[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ta kale duuuu
 
Mh kwan kuna ukaguz wa vyup jamani wanaume baaana
 
Mwingine huyu haujui hata maana ya neno sexy, hakuna rangi ya chupi inayopandisha mzuka kama nyeusi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseee utakua unaundugu na
Mashetan co bure
 
Aiseeee!!!! Hakuna kero kamaa hii kwang
Hasa nkute amevaliaa na tait
Nyeus dhaaaaa!!!!
Mzuka woteee unaingia doa

Af wanyakiusa ndo wanaongoza cjui
Walifundishwa na wakenya au vp
 
Aiseeee!!!! Hakuna kero kamaa hii kwang
Hasa nkute amevaliaa na tait
Nyeus dhaaaaa!!!!
Mzuka woteee unaingia doa

Af wanyakiusa ndo wanaongoza cjui
Walifundishwa na wakenya au vp

KOMA wewe!
Kabila na madada kuvaa chupi nyeusi wapi na wapi?
 
Mkuu chupi nyeusi inavulika mbona... Na papuchi unakula mubashara kabsa so usijudge khs hlo
 
Me sion shida hapo anaweza akavaa nyeupe na akawa mchafu so chup ni chup
Upendo ngoja nikutobolee siri nilikutana na mdada amevaa chupo nyeusi roho yangu ilihuzunika sana na bahati mbaya ilikuwa inamlegea yaani we acha tu.jitahidini sana wadada kuvaa vyema na smart kwenye miili yenu.maana nguo za ndani kwa wapendanao ni sapraizi kwa wapendanao uwezi mwambia vaa chupi fulani ukija home!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…