Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!


bila kuwa una ugonjwa wa akili huwez kuisoma hyo topic bila kutapika drs 7 =f vi? Ya choon? Au?
 
wajisajili waingia university,na wanavyojua kumaintain hawatadai boom liongezeke
 

Kama we unapenda kulishwa yan mwanaume kama bint utawasifia sana sana lakin tatizo utakalopata ukiwa na mchaga heshima ya mume kama kiongozi wa familia hitaipata utanyanyasika had unakufa......kwa kifupi ukitaka uish kwa aman na mchaga lazima ukubali yeye awe mkuu wa familia ila kama unataka hadh yako iwepo utaish naye kwa ugomvi sana ....
 
Wanawake wa kichaga wengi ni wajane, kwa nini? Naomba ufanyie utafiti na ilo pia
 
Sitaki demu wa kitanga, jioni moja kanga tayari amejipanga kwa mabusu mangapi. Demu ninaemtaka manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza sh ngapi?

Yote haya ni matatizo ya umaskini. Mchana na usiku ni kuwaza pesa hadi mnakosa kufurahia maisha. Weka afya, furaha mbele na pesa itakuja tu siyo kumtumia mkeo kama motisha ya kutafuta pesa.
 
hiv Spain na England robo fainal Fifa wanacheza lin, it z better todiscuss hk kuliko thread ya kijinga na kitoto kama hii,
 
oa uchagani uachane na umaskini,sio kuvaa ushungi masaa 24 na umbea tu huku huna kazi utakata sana majani ya ngombe
 
Wachapa kazi kinyama, Nikibahatika kupata binti wa kichaga hata mungu akinichukua mapema nina uhakika watoto wetu watakula, watavaa na kusoma bila wasiwasi. Mungu nijalie demu mpenda maendeleo hasa ya kiuchumi mengine yatajiweka Sawa tu.
 
wewe kama umepata goma la kichaga sasa ndo unakuja kujisifia nitakubaliana na wewe... ila ukweli wa mambo haupo hivo hata siku moja....
 
Mtoa uzi ushamchunguza mwanamke kutoka kigoma wewe? Fanya utafiti nao waha ni dhahabu ndani ya nyumba.
 
haya nenda kwa wachagga wakakuoe...ila usije kulialia hapa kuwa ili upate dushe inabidi ukodi wanaume kutoka kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…