Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Mbegu ya mwanaume haiwezi kukua na kuwa mtu bila processing ndani ya lab ya mwanamke
Mwanamke ni laboratory kuu ambayo inafanya uwepo wetu utokane na overy yao, vinginevyo hakuna jinsi. Mwanamke kwa vile anataga mayai na ana uwezo wa kuyaangulisha tofauti na mwanaume asiyetaga mayai kazi ni kurutubisha yai la mwanamke tu na hana uwezo wa kuangulisha. Hivyo mwanamke kwa sayansi ya leo ana uwezo wa kupata kirutubisho kwenye yai kwa njia ya chupa bila kuhusiana na mwanaume. Hii inaonyesha umuhimu wa lab katika maumbile ya mwanamke. Ndio maana ganda la yai hutoka mara tu baada ya mtoto kuzaliwa.
Pale baadhi wanapodai mwanamke ananuka asipooga mara nyingi nadhani wengi hawaelewe maana halisi, pengine ukweli si kwamba wananuka ila ni mchanganyiko wa chemical mwilini katika viungo vya uzazi ambavyo ni natural toka kwenye organ ndivyo vinanyoonjeka na hakuna namna ya kuvikwepa kwa vile ni nature ya maumbile kwa kazi maalum ya kuzaliwa binadamu, hivyo kuoga hakuondo chemicals, ndio maana hutumia zaidi perfumes ambazo husaidia to eliminate. Hata hiyo harufu inayosemwa si kwa maisha yote, ila ni ya kipindi fulani katika kila mwenzi na pengine inabadilikabadilika kutokana na majira na hitaji lake.
Jambo la msingi tuheshimu wanawake katika mazingira hayo, wameumbwa hivyo na Muumba kwa sababu maalum, ndio maana biblia yasema upumbavu wa Mungu ni hekima kubwa zaidi kwa binadamu.