Mwanamke lab kuu ya uwepo wetu, hawanuki ila ni mchanganyiko wa chemical ya lab kwa uumbaji
Mji wa Mimba
Mbegu toka kwa mwanaume
Mbegu ya mwanaume haiwezi kukua na kuwa mtu bila processing ndani ya lab ya mwanamke
Mwanamke ni laboratory kuu ambayo inafanya uwepo wetu utokane na overy yao, vinginevyo hakuna jinsi. Mwanamke kwa vile anataga mayai na ana uwezo wa kuyaangulisha tofauti na mwanaume asiyetaga mayai kazi ni kurutubisha yai la mwanamke tu na hana uwezo wa kuangulisha. Hivyo mwanamke kwa sayansi ya leo ana uwezo wa kupata kirutubisho kwenye yai kwa njia ya chupa bila kuhusiana na mwanaume. Hii inaonyesha umuhimu wa lab katika maumbile ya mwanamke. Ndio maana ganda la yai hutoka mara tu baada ya mtoto kuzaliwa.
Pale baadhi wanapodai mwanamke ananuka asipooga mara nyingi nadhani wengi hawaelewe maana halisi, pengine ukweli si kwamba wananuka ila ni mchanganyiko wa chemical mwilini katika viungo vya uzazi ambavyo ni natural toka kwenye organ ndivyo vinanyoonjeka na hakuna namna ya kuvikwepa kwa vile ni nature ya maumbile kwa kazi maalum ya kuzaliwa binadamu, hivyo kuoga hakuondo chemicals, ndio maana hutumia zaidi perfumes ambazo husaidia to eliminate. Hata hiyo harufu inayosemwa si kwa maisha yote, ila ni ya kipindi fulani katika kila mwenzi na pengine inabadilikabadilika kutokana na majira na hitaji lake.
Jambo la msingi tuheshimu wanawake katika mazingira hayo, wameumbwa hivyo na Muumba kwa sababu maalum, ndio maana biblia yasema upumbavu wa Mungu ni hekima kubwa zaidi kwa binadamu.
-
images (6).jpg
6.9 KB
· Views: 333
-
images (5).jpg
8.8 KB
· Views: 92
Kuna pia magonjwa ndani ya mji wa uzazi ambayo pengine huweza kusababisha harufu licha ya mchanganyiko wa kawaida katika taratibu za utungaji mimba. Wengi hupatwa na uvimbe au vimbe mbalimbali ambazo huwesa kusababisha kutokwa na uchafu, harufu na pia kusababisha kuharika mimba au kukosa kushika mimba kabisa.
Fibroid
Aina ya fibroid (s ), yaani uvimbe kwenye mji wa mimba.Dalili:
Dalili zake ni hedhi nzito kupita kiasi, utokwaji wa uchafu ukeni, mimba kuharibika, maumivu chini ya kitovu kwa katikati, kuongezeka kwa tumbo kadiri uvimbe huu unavyoongezeka, n.k.
Ovarian Cyst
Hii ni aina ya uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke. Hutokea kwenye vifuko vya mayai ya uzazi, kwa ndani au kwa nje, na yaweza ikawa kwenye kifuko kimoja cha mayai au vyote viwili.
Dalili
Dalili kubwa ya uvimbe wa aina hii ni kichomi chini ya kitovu na sehemu moja.
Kichomi huzidi sana mgonjwa anapocheka kwa nguvu au kuinama au anapobeba vitu vizito.
Dalili nyingine kubwa ni kuwa na tatizo la hedhi inayokoma kwa zaidi ya miezi mitatu, tatizo ambalo kitaalamu huitwa Amenorrhea, maumivu wakati wa kutoa haja ndogo na kutoa haja ndogo mara kwa mara, maumivu ya kiuno kwa nyuma, maumivu wakati wa kujamiiana, maumivu makali wakati wa hedhi, kupoteza hamu ya kula, kuongezeka uzito na unene kwa kiasi.
Mwanamke anapoona dalili zaidi ya moja kati ya hizi awahi kwenda hospitali.