Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

Nancy mzuri sana,enzi za ujana wangu tulikuwa tunawaita vidosho,aah,pale Embassy hotel tulilala nao sana.
Sasa nimeacha ,tena sasa hao vidosho ni wake za marafiki zangu na wana nyadhifa kubwa tu,na huwa nawakatalia kukumbushiana.
 
Hakuna anayemfikia my baby Shishi Trump mpaka leo.
 
wewe mwanamke mzuri kuliko wote ni mama yako weweeee
 


Sijaona urembo wowote zaid ya manundunundu mwili mzima
Kwangu Mimi Nancy Sumari nampa kura yangu
 
Hivi Huwa mnatumia vigezo gani kusema warembo Tanzania nzima????
 
Umepita wapi ukamwona huyo ndio mzuri? Au ni maono yako,uzuri,urembo unatazama nn??!!wewe umeoa/umeolewa?unaweza sema mke/Mme wa rafiki yako mzuri?
 
Hii ni complex topic!Wadada wazuri wako wengi sana kiasi kwamba kuamua nani ni zaidi ni vigumu sana.

Achana na hao maarufu.Kuna wakati nilikwenda Iringa kikazi.Tukiwa kwenye kijiji kimoja tulimuona msichana mmoja ambaye nakiri kabisa sijawahi kumuona msichana mzuri kama yule.Msafara wetu wa watu kumi tulikubaliana kabisa yule angeshiriki mashindano ya uzuri angeibuka kidedea.Nendeni vijijini huko mtaona vitu natural...
 

Huyo hapo tz sweetheart kuliko wote miss tz 2016/17[emoji4] [emoji4] hicho kiatu sasa[emoji87] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Sijui tz sweetheart huyu anatumiaga techno werevaa maana hizo Picha [emoji87] [emoji87]
 
Nawaza tu ukimwona wema kaamka asubuhi anakuwaje?

Siku nilipomuona live arusha nilichoka sio ka mguu ule
 
Cjui kama kuna definition sahihi ya uzuri ndiyo maana tunasema kila shetani na mbuyu wake si lazima mzuri kwako awe mzuri na kwa mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…