Kakashi uchiha
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 604
- 415
HaterSadly ts the opposite, perhaps sio kujitambua,that's who she is...unataka kusema hajitambui??.
Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
Damn...huyu nalamba kiiiila mahali hadi unyayo.hapa wote wanasubiri
Ndo ile ya ratifa??
good brother kujivunia mkeoHamjawahi kumuona mke wangu ndo maana mnadanganyana
Wema Sepetu ni Gorgeoous! Duh! Lulu tu Wema hata robo haingii.Wema Sepetu is simply Gorgeous sema hajatambua kama ye ni next level,Ila Nancy naye is beautiful in her way...!
Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369
yap hajitambui na anazeeka sasa hata kazi anayofanya haieleweki amambwela mbwela tuSadly ts the opposite, perhaps sio kujitambua,that's who she is...unataka kusema hajitambui??.
Mnapokataa ukweli ss sijui tuwaweke kundi gani..mamis wanaojitambua wote tunawaona likewise wasiojitambua piaHater
Inabd atafte danga moja limuoe,mana mamisi almost wote ukiangalia vipato vyao wanafanya shughuli gani unaweza usielewe wametoka kimaisha kwa kuolewa na wenye nazo,yap hajitambui na anazeeka sasa hata kazi anayofanya haieleweki amambwela mbwela tu
ndio atumie fursa sio kila siku anahangaika na vitotoInabd atafte danga moja limuoe,mana mamisi almost wote ukiangalia vipato vyao wanafanya shughuli gani unaweza usielewe wametoka kimaisha kwa kuolewa na wenye nazo,
Tatizo rangi..wanaume wabongo wanapenda weupeee...hapa wote wanasubiri
Hata mimi huyu namkubali sana.Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
View attachment 471369