kaka mimi mtoa mada nilimuelewa sana kwa nini alipost kwa ufupi vile. tatizo sisi wana jamvi tumekuwa na tabia ambayo sio nzuri, kila mtu akileta hoja yake ya kutaka kile anachoamini kitamliwaza kazi yetu sisi ni kumbeza tu, mi nilidhani ushauri wa maana ndio ungesaidia badala ya kuaibishana tu pale mtu anapoeleza hisia zake, kwa kweli mtanisamehe lakini sifurahishwi na mambo hayo. ndio maana jamaa yetu akasema tu 40-60 mwanamke, hiyo kwa mimi nilielewa anachomaanisha na aliepuka hayo matusi na kejeli!!!!