Mwanamke mjamzito kutokwa na chunusi nyingi usoni, nini chanzo na tiba?

Mwanamke mjamzito kutokwa na chunusi nyingi usoni, nini chanzo na tiba?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Habari doctor, kuna kina dada huwa tunawaona, wanakuwa soft tu ila wakibeba ujauzito wanakuwa na chunusi nyingi usoni.

Je kitaalam nini kinasababisha? Tiba yake ni nini?
 
Mabadiliko tu ya mwili.. sidhani kama kuna tiba... tiba ni kujifungua tu!!!
 
Back
Top Bottom