sirluta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 6,325 Reaction score 2,491 Dec 14, 2015 #1 Habari doctor, kuna kina dada huwa tunawaona, wanakuwa soft tu ila wakibeba ujauzito wanakuwa na chunusi nyingi usoni. Je kitaalam nini kinasababisha? Tiba yake ni nini?
Habari doctor, kuna kina dada huwa tunawaona, wanakuwa soft tu ila wakibeba ujauzito wanakuwa na chunusi nyingi usoni. Je kitaalam nini kinasababisha? Tiba yake ni nini?
lowestein JF-Expert Member Joined Jul 24, 2011 Posts 307 Reaction score 127 Dec 14, 2015 #2 Mabadiliko tu ya mwili.. sidhani kama kuna tiba... tiba ni kujifungua tu!!!