kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Nijuzeni jina la Mwanamke mlevi kwa kiswahili fasaha anaitwaje
Tupo na mke wangu hapa tunabishana ananitajia majina ya ajabu ajabu
Na jee mwanamke mlevi kwa kimombo anaitwaje?[emoji23]
My take😛ombe sio chai[emoji23] mavazi ya mtu yasikuchanganye
Hii code waliosoma Cuba tu ndo wataelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]