Mwanamke mlevi

Mwanamke mlevi

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Katikati ya baa, mwana mama mmoja mlevi akapaza sauti.
"Hivi, kuna mwanamume gani hapa anayeweza kunifanya nijisikie mwanamke kikweli kweli?"
Mlevi mmoja (dume) akavua shati na kumtupia.
"Haya, kafue hiyo shati"
 
Back
Top Bottom