Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali mashuhuri.
Aidha, Serikali ya Equatorial Guinea imewafuta kazi maafisa wote wa serikali ambao walihusishwa na kufanya mapenzi katika ofisi za wizara. Makamu wa Rais Teodoro Nguema amesema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa Kanuni za Maadili na sheria za nchi.
Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati