Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Ukisikia Mshahara wa Dhambi ni Mauti hii ni sehemu yake tu..!

Mambo yote aliyotukataza Mungu ni Kwa faida yetu wenyewe, sio Kwa faida ya Mungu.
 
Huo binafsi nauita ushamba,iwapo alilazimishwa sawa unaweza fikiria mbali kiasi hicho,ila kama aliridhia wakati huo kwa kuchungulia maokoto,hakuwa na sababu ya maamuzi ya kujidhulumu.Japo wote hawafanani,katika mazingira kama yake wangeweza wakatokea wajinga wakaona ni fursa ya kujipatia umArufu.Hivyo maisha yana milima na mabonde.Iwapo walijikuta katika hali hiyo angetafakari tu namna ya kuwa mpole na kubadili aina ya maisha na mawasiliano na jamii kwa kipindi fulani na maisha mengine yangeendelea kama awali.
 
Africans are good at theft, ngono ane pombe.
 
Inaweza kuwa kauliwa, lakini ndiyo stahili yake.
 
Wewe una uhakika aliwagonga au alikuwa anawapiga picha tu na kimoko cha kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ