Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Hujasema kama ni kibonge yupi so hata ukiitwa mama hamna shida. .
 
mwanaume haijalishi as long as ana vijisenti vya kutosha. hayo mambo sijui mrefu mwembamba handsome ni irrelevant kama fweza inapiga chenga
 
Mwanaume akiwa na dusherere la kutosha awe mwanamke mwembamba au mnene haijalishi tatizo akiwa na kibamia ndio hayo yanaanza kumbe yeye ndio tatizo anakuwa haji amini anaogopa mwanamke mnene kitu kitachomoka
 
mwanamke mwembamba kwangu hatakiwi kbs,siwapendi! Hawana pa kushika kbs,nyamanyama ina raha yake bwn
 

Doh, kakudanganya nani, eti wembamba wakae majumbni,,,,basmati habari ya mjini kaka, kila nguo ana fit,,,,, mie mwembamba na nina mvuto,,,,, salamu hadi kwa majibaba,,,, xo xory,,,,
 
mwanamke mwembamba kwangu hatakiwi kbs,siwapendi! Hawana pa kushika kbs,nyamanyama ina raha yake bwn

mbona mnawaambia wafanye mazoez kama hvyo,,,,, kama wanene ndo dili,,,,, na sie wanaume wanene hatuwapendi,,,,, hamna mvuto,,,,
 
mbona mnawaambia wafanye mazoez kama hvyo,,,,, kama wanene ndo dili,,,,, na sie wanaume wanene hatuwapendi,,,,, hamna mvuto,,,,

wala sio mashindano....kama huwapendi wanaume wanene ni wewe....! mimi sipendi wadada vimbaumbau......FULL STOP! kila mtu anapenda kinachompendeza......ebo!!
 
nikwel lkn mvuto wa mwanamke ni yy mwenyewe anavyojithamin aijalishi mwembamba,mnene,mrefu au mfup!!

Sio kweli mkuu.... mtoto mashallah kavimba kimpangilio... hata avae gunia lazima ugeuke.... kuna wanawake hawavutii hata kidogo hasa mabonge tukunyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…