barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wanene wenye maumbo ya kinyakyusa ndio poa!
Mwanamke mnene na mwembamba yupi anamvuto kimapenzi kwa wanaume? Kama uteuzi umekuteua jaji utoe vigezo vyako,utaegemea upande upi na kwa vigezo vipi kati ya makundi haya mawili ya wanawake?
Mwanamke mnene na mwembamba yupi anamvuto kimapenzi ?
unene usiwe ule wakuanzia kuruhusu kitambi kwa mwanamke na wembamba ule unaoweza pelekea mishipa ya shingo kuonekana.Chini ya hapo.Weka picha tulinganishe. Sio kila unene unavutia na sio kila wembamba unavutia.
Mwanaume akiwa na dusherere la kutosha awe mwanamke mwembamba au mnene haijalishi tatizo akiwa na kibamia ndio hayo yanaanza kumbe yeye ndio tatizo anakuwa haji amini anaogopa mwanamke mnene kitu kitachomoka