Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

vimodo ndo wana soko buana ile minyama inapendeza kwenye nguo tu livelive hainogi
 
mmi awe average tu-kila kitu kikiwa too much ni shida
 
Swali lako halina jibu...kila mmoja mtamu inategemea. Kwani mwanaume kibonge na mwembamba yupi mtamu?

Mwembamba au mnene kidogo tu. Akiwa mnene sana kitambi kinameza naniino yote kuipata ni shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…