Tutajibu kifupi na kisomi kwa kumchukulia mlimbwende Wema kama mfano
Alipokuwa miss kipindi cha mashindano na akiwa na umbo jembamba aliwahi piga picha akiwa na vazi LA chupi ufukweni
Na miaka mingi kupita akiwa amenenepa aliwahi kuchukua video fupi akisa anaogelea akiwa ndani ya vazi LA chupi
Sasa kati ya Picha hizo mbili akiwa mwembamba na akiwa mnene IPI itakayokufanya bwana Samson Chaz chama kidumu,nadhani ni ile aliyokuwa akiogelea,hivyo tunaconcludi wanawake wanene wanamvuto,
Ningekuwa na uwezo ningemuomba Wema apige picha akiwa ndani ya vazi LA chupi kuprove maana ukiwa ufukweni hakuna sheria inayokubana hata udsm wanafunzi huvaa wanaosomea uogeleaji
Instagram:kaukwaju