Wanakula Bia..eti...huyu anadhambi kwaiyo.mimi hapa nimekula watoto wa watu...jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wenye kitambi na nyie mnakulaga nn? Rushwa?
Sent From Galaxy S9
Mimi sipendi mwanaume mwenye kitambo...napenda mwanaume Slim...Yaaani ukiwa kibonge usinitongeze...navutiwa Sana na wanaume wenye miili ya kawaida Kama my luv wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Rushwa + Bia
Ila kitambi kwa mwanaume sio ishu sana japo mimi binafsi sikipendi.
Itakuwa wanakula rushwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wenye kitambi na nyie mnakulaga nn? Rushwa?
Sent From Galaxy S9
Wanawake wanene wana K ndogo, zina utelezi mwingi, na zamoto.Halafu wanene ndo wazuri sasa K imebana wanaweza kuifinyia kwa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu, ila wemgine wanadhani kitambi ni alama ya kutoboa kimaisha. πππππKiriba tumbo hakipendezi kwa wote me &ke
Tafuta mnene mwenzio πKwahyo sisi wanene tuende wapi ss
Hahah kama matrafik wana vitambi vya rushwa
Mazoez sio kujitesa mistress, ni afya pia. Inakupunguzia risk ya magonjwa mengi kama saratani, shinikizo la damu, kisukari na mengine. Kama mazingira yana kuruhusu tenga muda alfajiri kabla ya kwenda job au jioni fanya mazoezi specific na kwa target. Shape maintenance itakuja kama bonusTujitese kisa nn
Kama una rafiki yako mwenye kitambi jaribu kumuuliza, au unampa free mechi. Nadhani itafanya kazi πππππNaskia wanaume wenye vitambi wana kidude kidogo. Ila sijawahi kuprove [emoji23]
Sent From Galaxy S9
Ulipunguaje?Kabla sijapungua kitambi...BF wangu nilikua nikimwambia ninaumwa anasema kapime mimba..maana Hilo tumbo tumbo...Basi nlikua nacheka.....Ila kitambi noma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kitambi kinapunguza sana mvuto wa mwanamke. Ila siku hizi tatizo ni kubwa hasa kwa wanawake walioolewa. Nadhani wanaona wapo ndoani hivyo wanaridhika kwa kusema 'nijihangaishe kupunguza kitambi cha nini, kwani natafuta mchumba!'Kabla sijapungua kitambi...BF wangu nilikua nikimwambia ninaumwa anasema kapime mimba..maana Hilo tumbo tumbo...Basi nlikua nacheka.....Ila kitambi noma
Sent using Jamii Forums mobile app
Am no mistressMazoez sio kujitesa mistress, ni afya pia. Inakupunguzia risk ya magonjwa mengi kama saratani, shinikizo la damu, kisukari na mengine. Kama mazingira yana kuruhusu tenga muda alfajiri kabla ya kwenda job au jioni fanya mazoezi specific na kwa target. Shape maintenance itakuja kama bonus
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tufanyaje sisi vibonge [emoji23]Kwahyo sisi wanene tuende wapi ss