Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwembamba anaweza nenepa
Mnene anaweza pungua.
Swali ni je akinenepa au kupungua utaacha kumpenda?
 
Aisee navutiwa na wanawake wembamba aina kama ya Michelle Obama.


Update:
Natafutwa na CIA nakimbia ila sijui naenda wapi, alafu nimesikie sauti ya drone imepita sasa hivi nahisi ni kwa ajiri yangu, nafwaa🤪🤪🤪.
 
Wote wanafaa kila mtu na chaguo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…