Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu

amloweke na tangawizi bila kusahau kitunguu swaum atakua na ngozi soft kama ya samaki!! hahaha wanaume mtatuua kutwa kutukosoa mtadhani na nyie mko perfect.
Hii mnatakiwa mjiliweke wenyewe, mkija kwetu mnahakikisha mko poa kila idara
 
Haujapenda wewe, ulikuwa kwenye experiment.......Ungependa usingeona huo ugumu, mwili mzima ungekuwa nyororo na unateleza kama kambale.
 
Huyo ndo mwanamke wa Kiafrika,tatizo mmekwishazoea hawa mademu zenu waliojipiga mikorogo hadi ngozi zimekuwa kama plastiki..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…