Mwanamke/Mschana kuwa mcheshi


Kwanini muwe na negative generalisation why not a positive one? Inamaana wanaume waliyo nafikra hiyo kuhusu mdada mcheshi wao huwa wanaenda sana kinondoni kwa wadada poa? Kwanini kaka aliyekuwa mcheshi wadada wasifikiri kuwa nae ni mwingi?
 
Wana mawazo mgado tu, kuna wacheshi na hawaingiliki kirahic na kuna wapole hata hawajaitwa wanaitika!
hahah!!!!mawazo mgandoooooo! mawazo topeeee! mawazo ujiii!!! mawazo kamasiiiii!!
 

waambie hao gaga! Wapole wabaya nyie. Mmmh! Ila inategemea, wapo wacheshi unaweza wapata kirahisi na wapo utachekewa huku unapgwa calendar hadi unachoka mwenyewe.
 
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
mwenzangu pole naona yalikukuta
 
asnte dear asante
maana ni ngumu kuamini ila yote maisha
yaliubwa kwa ajili yetu ...mungu anipe ujasiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…