Mwanamke mtulivu, mkomavu, anayejielewa na muelewa. Tafadhali kama huna hiki kigezo cha awali pita mbali

Mwanamke mtulivu, mkomavu, anayejielewa na muelewa. Tafadhali kama huna hiki kigezo cha awali pita mbali

AlphaMale123

New Member
Joined
May 25, 2023
Posts
1
Reaction score
6
Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:

1. Umri kuanzia 21 hadi 40
2. Yupo Dar
3. Anajitegemea kimaisha
4. Haijalishi ana mtoto au hana
5. Anahitaji utulivu wa akili na moyo.
6. Ana mawazo chanya ya maendeleo
7. Ana digrii moja na kuendelea

Kuhusu mimi:

1. Nina umri kati ya 35 hadi 39
2. Najitegemea
3. Nina digrii mbili (Masters)

Karibu PM kwa mazungumzo zaidi.
 
Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:

1. Umri kuanzia 25 hadi 40
2. Yupo Dar
3. Anajitegemea kimaisha
4. Haijalishi ana mtoto au hana
5. Anahitaji utulivu wa akili na moyo.
6. Ana mawazo chanya ya maendeleo
7. Ana shahada ya kwanza na kuendelea

Kuhusu mimi:

1. Nina umri kati ya 35 hadi 39
2. Najitegemea
3. Nina shahada ya uzamili

Karibu PM kwa mazungumzo zaidi.
[emoji18]
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Mimi kazi yangu saidia fundi,je! utanikubali au nimtafute mwajuma nchokonoe wa tandale?
Mwanaume ambaye uchumi wake ni wa kubangaiza sidhani kama anastahili kuoa...ataishia kumtesa mkewe au kusaidiwa kutunza mke
 
Mwanaume ambaye uchumi wake ni wa kubangaiza sidhani kama anastahili kuoa...ataishia kumtesa mkewe au kusaidiwa kutunza mke
Hakika hasa ukioa mama wa nyumbani,ndio maana nimechagua kuwa padri.
 
Watoto wa mapadri na masister wapo vituo vya watoto yatima.Usiwe mbishi
Kwa mapdri sawa hao tunaita waasi ila masista njoo inbox nikutonye hapa watanifokea.
 
Back
Top Bottom