AlphaMale123
New Member
- May 25, 2023
- 1
- 6
[emoji18]Natafuta mwanamke mwenye sifa hizi:
1. Umri kuanzia 25 hadi 40
2. Yupo Dar
3. Anajitegemea kimaisha
4. Haijalishi ana mtoto au hana
5. Anahitaji utulivu wa akili na moyo.
6. Ana mawazo chanya ya maendeleo
7. Ana shahada ya kwanza na kuendelea
Kuhusu mimi:
1. Nina umri kati ya 35 hadi 39
2. Najitegemea
3. Nina shahada ya uzamili
Karibu PM kwa mazungumzo zaidi.
?[emoji18]
Awe tayari kunioa kesho
AlphaMale123 ushindwe wewe tu.Awe tayari kunioa kesho
Kwahiyo wewe unajikimbiza?AlphaMale123 ushindwe wewe tu.
sheria na kanuni na.5 utatoboa?Awe tayari kunioa kesho
Rahisi sana, mwanamke yeyote akishaolewa yampasa ajue ameshaolewa....utulivu humjia automatically tu mkuusheria na kanuni na.5 utatoboa?
Mimi kazi yangu saidia fundi,je! utanikubali au nimtafute mwajuma nchokonoe wa tandale?Kwahiyo wewe unajikimbiza?
Mwanaume ambaye uchumi wake ni wa kubangaiza sidhani kama anastahili kuoa...ataishia kumtesa mkewe au kusaidiwa kutunza mkeMimi kazi yangu saidia fundi,je! utanikubali au nimtafute mwajuma nchokonoe wa tandale?
Hakika hasa ukioa mama wa nyumbani,ndio maana nimechagua kuwa padri.Mwanaume ambaye uchumi wake ni wa kubangaiza sidhani kama anastahili kuoa...ataishia kumtesa mkewe au kusaidiwa kutunza mke
Kuwa padri si tatizo,tatizo ni masister kushika ujauzitoHakika hasa ukioa mama wa nyumbani,ndio maana nimechagua kuwa padri.
Ni ngumu kuna process wanapitiaga kwa uelewa wangu.Kuwa padri si tatizo,tatizo ni masister kushika ujauzito
Watoto wa mapadri na masister wapo vituo vya watoto yatima.Usiwe mbishiNi ngumu kuna process wanapitiaga kwa uelewa wangu.
Utulivu unakuja na uchumi stableRahisi sana, mwanamke yeyote akishaolewa yampasa ajue ameshaolewa....utulivu humjia automatically tu mkuu
Ndo ukweli usiotakwa kusikikaUtulivu unakuja na uchumi stable
Kwa mapdri sawa hao tunaita waasi ila masista njoo inbox nikutonye hapa watanifokea.Watoto wa mapadri na masister wapo vituo vya watoto yatima.Usiwe mbishi