njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Nov 6, 2024 #21 HAKI KWA WOTE said: Mke wako anafanyakazi ya mama ntilie je hagongwi na wateja wake? kek Click to expand... Shupaza shingo tu hapa uonekane na wewe umechangia ,tunawashauri humu kila siku yakiwashinda mnakuja mbio humu, unajua maana ya asilimia ?
HAKI KWA WOTE said: Mke wako anafanyakazi ya mama ntilie je hagongwi na wateja wake? kek Click to expand... Shupaza shingo tu hapa uonekane na wewe umechangia ,tunawashauri humu kila siku yakiwashinda mnakuja mbio humu, unajua maana ya asilimia ?
pokoloko New Member Joined Nov 6, 2024 Posts 3 Reaction score 2 Nov 6, 2024 #22 iamriq_arthur said: Natafta Mwanamke mwalimu & Nurse alie tayari kwaajiri ya ndoa anicheck kwa namba yangu [emoji117] 0757 692 993 Click to expand... Kwa dunia ya sasa ni bora umwombe Mungu akupe tu hayo mengine achana nayo
iamriq_arthur said: Natafta Mwanamke mwalimu & Nurse alie tayari kwaajiri ya ndoa anicheck kwa namba yangu [emoji117] 0757 692 993 Click to expand... Kwa dunia ya sasa ni bora umwombe Mungu akupe tu hayo mengine achana nayo
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,894 Reaction score 6,020 Nov 6, 2024 #23 amu said: Wewe jamaa sema tu shida yako ni mkopo halafu akishakopa pesa umtapeli tapeli kisha umuache. Walimu na manesi epukeni wanaume kama hawa. Click to expand... wamezoea kulelewa
amu said: Wewe jamaa sema tu shida yako ni mkopo halafu akishakopa pesa umtapeli tapeli kisha umuache. Walimu na manesi epukeni wanaume kama hawa. Click to expand... wamezoea kulelewa
iamriq_arthur JF-Expert Member Joined May 1, 2021 Posts 440 Reaction score 1,086 Nov 8, 2024 Thread starter #24 Philomena3 said: Unataka [emoji1787]nini mzee kwa hao watu kufungua twisheni au unataka kufungua dispensary mkui Click to expand... Ndio, vyote kwa pamoja
Philomena3 said: Unataka [emoji1787]nini mzee kwa hao watu kufungua twisheni au unataka kufungua dispensary mkui Click to expand... Ndio, vyote kwa pamoja