Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

Mi ni zaidi ya mmoja. Siwezi kumsahau Granny Faiza Foxxy. Mwingine siwezi kumsahau anaitwa Cougher maarufu wa JF anaitwa lara 1. Maana michango yao humu jamii forums nimeipenda ha ha ha. I wish nionane nao siku moja.
 
Msichana sitakaa ni msahau ni mama yangu na mwanaume mwenzangu Anbar sitaweza kunsahau ni baba yangu...
 
Mwajuma sitomsahau kamwe aisee!
 
Mi wote nawasahau tu tena wengine nikiamka hata majina yao siwajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…