Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?


Kwa maneno yako tu...ww humpendi yesu wala yesu akupendi ww....
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa kunikumbuka, m nishakusahau.
 
Sina hakika kama huyo wangu siku hizi anafanya kazi TBC

Na ndiyo, Tatizo ni jina la ukweli.

Hujawahi kusikia au kukutana na mdada yeyote aitwaye Tabu?

Tabu na Shida nimesikia
but Tatizo not yet

Huyo Fatuma alikuwa kabila gani?
 
Tabu na Shida nimesikia
but Tatizo not yet

Huyo Fatuma alikuwa kabila gani?

Fatuma ni Mzigua....

Siku hizi anamiliki na kuendesha saluni na duka la urembo pale karibu na shule ya msingi ya Mapambano....

Unaijui hiyo shule...?
 
Fatuma ni Mzigua....

Siku hizi anamiliki na kuendesha saluni na duka la urembo pale karibu na shule ya msingi ya Mapambano....

Unaijui hiyo shule...?

Yap nilikuwa na kimeo hapo nacho kina duka...
ingawa haitwi Fatuma
 
Sitawasahau mama na baba yangu.
 
lulu michael.. wa bongo muvi sitakusahau ata mbinguni nitakusimuliapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…