medicine
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 216
- 137
Nahitaji mwanamke mwenye hofu ya Mungu,asiyetaka tena maisha ya kuchezewa ovyo, anaehitaji ndoa ili apate heshima anayostahili kama mke wa mtu.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea
Rangi yoyote .
Kabila lolote.
Mkoa wowote .
Mi umri wangu miaka 28
Ninajimudu kimaisha.
Mwenye bahati yake aje PM.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea
Rangi yoyote .
Kabila lolote.
Mkoa wowote .
Mi umri wangu miaka 28
Ninajimudu kimaisha.
Mwenye bahati yake aje PM.