Mkuu nipo serious kbs,Mungu aniletee mtu wa kufanana nae aisee[emoji120]Ok kila la Kheri,Mungu akufanikishe..
Ila your not serious Chief
Kwamba unataka mwanamke ambaye hataki tena kuchezewa kweli?
Imekuwia ugumu gani kusema,Mwanamke aliyetulia(bikra) + hofu ya Mungu.
Ok utapata wa kufanana nae,kwa sabbu na wewe hutaki tena kuwachezea.
Namba pleaseNahitaji mwanamke mwenye hofu ya Mungu,asiyetaka tena maisha ya kuchezewa ovyo, anaehitaji ndoa ili apate heshima anayostahili kama mke wa mtu.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea
Rangi yoyote .
Kabila lolote.
Mkoa wowote .
Mi umri wangu miaka 28
Ninajimudu kimaisha.
Mwenye bahati yake aje PM.
Nahitaji mwanamke mwenye hofu ya Mungu,asiyetaka tena maisha ya kuchezewa ovyo, anaehitaji ndoa ili apate heshima anayostahili kama mke wa mtu.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea
Rangi yoyote .
Kabila lolote.
Mkoa wowote .
Mi umri wangu miaka 28
Ninajimudu kimaisha.
Mwenye bahati yake aje PM.