Mwanamke mwenye blood group O kuzalishwa na mwathirika wa UKIMWI lakini mke na mtoto hawajaathirika

Joined
Jul 7, 2016
Posts
49
Reaction score
44
Naomba ufafanuzi wa kitaalam" vipimo vya ukimwi vinasemaje kwa mtu mwenye blood group O"? Kuna dada mwenye blood group O kazalishwa na mwathirika lakini kila wakienda kupima yeye na mtoto hawana ukimwi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipimo vya ukimwi havina uhusiano na aina ya group la damu ambalo mtu analo.

Huyo mama na mtoto kupimwa kuwa negative ni kwamba mama hajaambukizwa virusi vya ukimwi na automatically mtoto lazima awe negative.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…