the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
Hahahaaa mwanangu ushajichulia mtoto kiulaiiiiiiini sasa ole wako uwe domo zege!!Mimi ni mdigo niko tayari.
kanzu inakuhusu kama huchagui dini mkuuMimi ni kijana umri miaka 27 mjasiriamali na mkulima ambaye pia namalizia elimu yangu ya chuo(shahada ya uhasibu) dini yangu mkiristu (mkatoriki) naishi DSM nahtaji mwanamke vigezo miaka 21above...dini sichagui...kabila asiwe mzaramo,mkwele na wale wa mwambao wa pwani
Unapatikana wapiMimi ni mdigo niko tayari.
welcom dmMimi ni mdigo niko tayari.
Hapana masharti yangu ni kuwa maongezi yetu yote tumalizie hapa jukwaani.welcom dm
sawa tu ila wasiwe wa wale wa kutoboa maskio hapanaaUwiii mmasai je????
sawaHapana masharti yangu ni kuwa maongezi yetu yote tumalizie hapa jukwaani.
Kama mambo hadharani mamii na mimi nipo tayari kukuoa maana IMEKUWA TUPO MNADANI, haya tuene movie litavyokwenda, kwanza nianze na hili I LOVE YOU BEBI SKY ECKAT!! MWAAAAAH[emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182]Hapana masharti yangu ni kuwa maongezi yetu yote tumalizie hapa jukwaani.
karibu[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Naja
usijali ....ndo maana ukaambiwa aliyetayariCtak tena
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mm nna hofu mpaka natetemeka