Mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi Duniani

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Ayanna Williams ni mwanamke anayeishi Jijini Texas nchini Marekani,
Ndie mwanamke anaeshikilia rekodi ya kuwa binadamu mwenye kucha ndefu zaidi duniani amezifuga kwa Zaidi ya miaka 30,
kulingana na rekodi ya 'Guinness World Record' iinasema Ayanna Willims alivunja rekodi ya kuwa binadamu mwenye kucha ndefu zaidi mwaka 2017, ambapo kucha zake zina futi 19 na inamchukua saa 20 kuzisafisha pamoja na chupa mbili za dawa.
 
Sasa anakulaje,kuvaa,kufua nk,mateso tuuu
 
Do your homework before posting. Alishakata hizi kucha.
 
kulingana na rekodi ya 'Guinness World Record' iinasema Ayanna Willims alivunja rekodi ya kuwa binadamu mwenye kucha ndefu zaidi mwaka 2017, ambapo kucha zake zina futi 19
View attachment 1837280

Huu ni uongo, sasa hizo pichani ndio zina urefu wa futi 19?? Mbona mnatudanganya mchana kweupe.
Ikiwa contena ndogo ina urefu wa futi 20 lweje hizo kucha pichani ziwe ndio zina urefu wa futi 19 AU umemaanisha inchi 19??
 
Huu ni uongo, sasa hizo pichani ndio zina urefu wa futi 19?? Mbona mnatudanganya mchana kweupe.
Ikiwa contena ndogo ina urefu wa futi 20 lweje hizo kucha pichani ziwe ndio zina urefu wa futi 19 AU umemaanisha inchi 19??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kitanda tu kina futi 6
 
Fut 19 za kucha 🤔, af kitanda kina fut 6 sawa.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…