Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI NI NGUMU KUDUMU NAYE KWENYE MAHUSIANO.
1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)ππ« π
2. Anayeamini uchawi (ushirikina)πΆβπ«οΈβ οΈ
3. Mwanamke anayependa hela π«΄
Mwanamke aliyeweka pesa mbele ni ngumu kudumu nae kwenye mahusiano
4. Mwanamke ambae mapenzi yake yako kwa baba yake.
Kila kitu....daddy, ukimuudhi kdg..daddy πΊ
5. Mwanamke mlokole (hasa makanisa ya kiroho)π
Hawa heshima yao kubwa iko kwa viongozi wao wa dini, atasikilizwa mchungaji kuliko wewe ππ
6. Mwanamke anayependa kujirusha π
Anataka outing,kuparty ,viwanja vyoote anavijua mpk band anazijua
7. Mwanamke anayependa kushindana (Asiyepitwa)
Mwenzake kavaa wigi mpya na yeye anataka, simu mpya imetoka, anaitaka
8. Mwanamke asiyeridhika.
Haridhiki kwenye mapenzi, au hata kipato au pesa unazompatia.
All in all, mbaya kwako kwa mwingine ni mzuri.
Kila mtu na mtu wake, kwako anaweza akakuchanganya lkn kumbe kwa mwingine ndiye Mwanamke anayemtaka.