Mwanamke mwenye muonekano mzuri hutongozwa sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mwanamke mzuri akipita sehemu lazima atongozwe haijalishi ameolewa au hajaolewa.akiwa TU mzuri akipita kwa kutembea Kutoka ubungo mpaka magomeni lazima asemeshwe zaidi ya Mara 15.kwa week mwanamke mzuri anatongozwa frequently Mara 50.na kila Aina ya mwanaume. akiamua mwanamke mzuri kuingiza hela Ni mamimilion.hata ukiachana naye Leo yeye bado ataendelea kutokewa na wana kila siku.ukiwa na mwanamke mrembo Sana mwenye shape na sura na mwendo na mvuto usiachane naye kwa sababu we ukimuacha utabaki unaumia wewe yeye atakusahau mapema TU akipata mashine nyingine anakusahau.usije ukadhani hata siku Moja atakukumbuka au ataumia juu yako.mwanamke mzuri Ni pesa na nguvu na mapenzi ndiyo Yana run dunia.mchumba mzuri stress zaidi hasa huku dar mjini,sijui huko mikoani vipi? dar mwanamke hata hajakuzalia lakini anakutesa ukiingia mkenge wa mapenzi utadata mkanikuta siku Moja naongea peke yangu barabaran.washikaji hawana adabu Wana mtaka hadi mke wako.wanamtamani hawaelewi wakimuona anavyotembea wanajiwekea dhamira lazima wamgonge yaani hawaogopi Hawa masela.halafu Sasa kinachonishingaza sio kumi yaani wako Kama Mia saba.sasa we jiulize Kama ukiwa na mwanamke mwenye tamaa unadhani mitongozo yote ataweza kuchomoa?
 
Picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wengi wao ndio wanaotumia zile dawa za ARV ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…