Hallow akina dadas and kakas, naamini mpenzi/mke/mme ulienae kuna vitu anuai vilikuvutia sana.
Mie binafsi nina mke na mtoto na nawapenda sana. Mke wangu nilivutiwa na mwanya wake maana ndo kilikuwa kitu muhimu sana kwangu kabla ya yote, why?
1. Huwa wanatabasamu mda wote akinuna utajua
2. Huwa wana heshima sana ktk mahusiano
3. Ni wacheshi sana na wanapenda kujichanganya
4. Huwa ni wasafi sana asikwambie mtu.
5. Wana huruma sana.
6. Wana mapenzi ya dhati.
Je ulisha wahi fanya utafiti wao.
Kama hujaoa usifanye kosa tafuta mke mwenye mwanya
Wangu hana mwanya ila sio mbaya nitampeleka kwa fundi mianya akamwekwe mwanya mmoja mzuuuuuri!! Halafu nivune hiyo sifa namba 6.
Weka picha
Hapa ni God given mwanya. Huo wa kuchonga mmh, sidhani km unaaply
I love you....KOKU!Hapa ni God given mwanya. Huo wa kuchonga mmh, sidhani km unaaply
Aisay hii kali, yani mwanamke akiwa na mwanya anakuwa mcheshi, nakumbuka kuna rafiki yangu alikuwa ana akili kama yako kabisa, alikuwa anasema mwanamke mwenye mwanya ni easy go....ukimtongoza tu, anafungua mapaja kwa sababu ya mwanya :biggrin:
Ukifata majina utapotea step, mana sio ma Elizabeth wote ni wafalme:biggrin:inawezekana ni kweli ni easy go! Ila kuwa makini jina lake lisiwe happy, marry, aisha, maimuna, nk. So na majina yanamata pia sio mwanya tu
Nakubaliana na yote hapo juu ila shida yao wanakuwaga na KITU KUBWA SANAAAAAAAAA, nshakuwaga na mmoja.
Hapa ni God given mwanya. Huo wa kuchonga mmh, sidhani km unaaply
ni ugonjwa Gap Between Teeth