Mwanamke mwenye siku 32

Mwanamke mwenye siku 32

lachicaguapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
269
Reaction score
72
Doctor wanted to know, how can a woman get pregnancy faster with the following circle?
December 27 to 31 Menstrual
january 28 to 2 second menstrual
and how to increase chances of having twins. Gracias!
 
thank you, i appreciate, will give u feedback. is there need to add vitamin supplement before ovulation time for better chances of pregnancy?
 
tatizo ni je unapata mens zako kwa mzunguko gani
huwa kuna mizunguko mitatu.
Siku 21
siku 28
siku 35
hiyo ndo mizunguko ya mwanamke so wewe ni upi make kama ni 35 ushauri wa mzizi mkavu hautakusaidia. Pia ni muhimu kunywa multivitamin.
 
tatizo ni je unapata mens zako kwa mzunguko gani
huwa kuna mizunguko mitatu.
Siku 21
siku 28
siku 35
hiyo ndo mizunguko ya mwanamke so wewe ni upi make kama ni 35 ushauri wa mzizi mkavu hautakusaidia. Pia ni muhimu kunywa multivitamin.
Kwa kweli for the last month ni 32. Ila kuna miezi ilikuwa 29.
 
tatizo ni je unapata mens zako kwa mzunguko gani
huwa kuna mizunguko mitatu.
Siku 21
siku 28
siku 35
hiyo ndo mizunguko ya mwanamke so wewe ni upi make kama ni 35 ushauri wa mzizi mkavu hautakusaidia. Pia ni muhimu

kunywa multivitamin.
Umeelewa lakini alivyoeleza au unasema kiushindani? Mkuu kim jong un? Amesema

Mzunguko wake wa mwisho ni Tarehe 28 mwezi Wa January na anataka kupata mimba mpe ushauri afanye lini mapenzi ili aweze

kupata mimba?Mimi kwa mahesabu yangu ndio nimeona ni tarehe 8 au tarehe 9 akifanya mapenzi anashika mimba siwezi kukwambia nimeyatowa wapi na wewe weka ujuzi wako sio kujaza manamba tu pasipo na faida toa na wewe elimu yako.
 
Last edited by a moderator:
mzizi mkavu mbona upo agresive hivyo hiyo sio tabia ya kitabibu kaka.
Na sijasema umekosea nimesema kama ana 35 ushauri wako hauto msaidia maana umefanya mahesabu kutumia 28 days. Lakin naona siku zako ni 28 days so ushauri wa mzizi ni muhimu.
Anyaway dada angu nikusaidie ili siku nyingine usisumbuke kuuliza tena
na inaoneka mzunguko wako ni 28 days

1. Kawaida kama ni 28 days
ovulation ni siku ya 14 then toa siku mbili, na unaongeza siku mbili. Maana yake siku za kupata mimba ni siku ya 12-16 kumbuka siku ya kwanza kuesabu iwe first day menses.
2. Kama una mzunguko 21 days siku za kupata mimba ni siku ya 5-9
3. Na kama una mzunguko wa siku 35 siku za kupata mimba ni siku ya 19-23
kumbuka siku ya kwanza kuhesabu iwe siku ya kwanza ya damu.
Lakin wewe tumia option 1
 
Namsubiri matokeo asanteni mlionisupport. Nikifanikiwa nitawajulisha.
 
usipofanikiwa nicontact, utaniambia. Umri wako. Na wa mme wako.
First day of last mens na first day of present mens.
Jitahidi
 
Back
Top Bottom